JAY Z , WILL SMITH NA NICOLE SCHERZINGER WATOKEA KATIKA MAANDALIZI YA MEN IN BLACK III UINGEREZA.
0
JAY Z , WILL SMITH NA NICOLE SCHERZINGER WATOKEA KATIKA MAANDALIZI YA MEN IN BLACK III UINGEREZA.
Jay Z in the building Uingereza wakati wa maandalizi ya movie ya MEN IN BLACK III London Jumatano. Mkali wa movie hiyo Will Smith alikutana na marafiki na wafanya biashara wenzake kama Jay z ambae alikuwa London kwa ajili ya Tour ya “Watch the throne” .
Nicole Scherzinger mshiriki mwenzake co-star katika movie hiyo ya MEN IN BLACK III, Aliwasili akiwa na Boyfriend wake Lewis Hamilton. Mkali huyo wa zamani kutoka Pussycat Doll anafanya movie yake ya kwanza ya science fiction amabyo itaonyeshwa katika Theaters tarehe 25 mwezi huu wa Mei.