matokeo ya kidato cha sita yaongezeka idadi mwaka huu..
0
***BARAZA la Mtihani la Tanzania (Necta), limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita iliyofanyika Februari mwaka huu yakionyesha kuongezeka kidogo kwa kiwango cha ufaulu kwa ujumla huku wavulana waliofaulu wakiwaacha mbali wasichana.****Katika matokeo hayo yaliyotangazwa jana na Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta), Dk Joyce Ndalichako (pichani), kati ya watahiniwa 46,499 waliofanya mtihani huo, wavulana waliofaulu ni 30,466 wakati wasichana ni 16,033