CHRIS BROWN KAMDISS RIHANNA TENA?
0
Kama na wewe ulijiuliza hivyo jibu lake hapo ni No. Stori zilizoenea kwenye internet sasa hivi ni kuhusu Chris Brown kumdiss Rihanna tena baada ya kutoa track ya freestyle version of Kanye West’s recent track. Kwenye hiyo track kuna maneno yanayomdiss mrembo mmoja ambae anatajwa sana na watu walioisikia kuwa ni Rihanna.