BAN Ki MOON ALAANI MLIPUKO SYRIA
0
***Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon akiwa pamoja na msaidizi wake, Naibu Katibu Mkuu Asha-Rose Migiro na Makamu wa Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Balozi Csaba Korosi akizungumza na Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao katika Umoja wa Mataifa hawapo pichani. katika mazungumzo hayo yaliyofanyika siku ya jumatano, Mkuu huyo wa Umoja wa Mataifa alieleza masuala mbalimbali yakiwamo ya hali tete za kisiasa nchini Syria, Mali, Guinea Bisau, mapigano kati ya Sudan ya Kusini na Sudan, maandalizi ya mkutano wa kimataifa wa maendeleo endelevu na mazingira maarufu kama RIO+2