AND 1 yainyuka Dar All Stars 123 - 71, Timu ya mpira wa kikapu ya AND 1 kutoka nchini Marekani juzi iliinyuka timu ya Dar All Star ya Dar es salaam vikapu 123 - 71 katika mechi ya kirafiki ya kimataifa, iliyochezwa kwenye uwanja wa ndani wa Taifa Dar es salaam......