REDS MISS USTAWI 2012
0
*** Washiriki wa kinyang'anyiro cha Redd's Miss Ustawi wa Jamii 2012 wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mwalimu wao,Mary Boniface (katikati) wakati wa mazoezi ya kujiandaa na shindano lao linalotaraji kufanyika siku ya ijumaa (Mei,4 2012),ukumbi wa Maisha Klab jijini Dar es salaam.**** Warembo wa Redd's Miss Ustawi wa Jamii 2012 wakiwa kwenye pozi.*